9 Dec 2025 1:24 pm | Citizen TV 270 views Duration: 1:52 Baraza kuu la makanisa ya NCCK nchini limeungana na mashirika mengine kuhamasisha na kuelimisha wakazi kukabiliana na visa vya dhuluma za kijinsia.