- 24,724 viewsDuration: 2:10Lucy Lymo 31 amejipambanua katika jamii ya kitanzania kama muelimishaji wa ugonjwa wa kisukari baada ya kuugua ugonjwa huo kwa takriban miaka 20 sasa. Anasema ni vyema jamii iachane na fikra potofu kuhusu ugonjwa huu na kuwa msaada kwa wagonjwa badala ya kuwakatisha tamaa ya kuishi. Anasema mgonjwa wa kisukari anaweza kufurahia maisha na kutimiza ndoto zake kama mtu mwingine. Amezungumza na @Martha_Saranga katika waridi wa BBC 🎥: @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #waridiwabbc #lucylymo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw