Skip to main content
Skip to main content

BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    4,157 views
    Duration: 1:01
    Tazama dereva huyu akiokolewa baada ya gari lake kukwama kwenye maji ya mafuriko na kuanza kuzama nchini Australia. Mwandishi wa habari wa televisheni, Will Murray, pamoja na mtu mwingine, walijitosa majini na kuogelea hadi kwenye gari hilo ili kumwokoa dereva aliyekuwa amekwama ndani. Hakuna majeruhi walioripotiwa. Mamlaka zimetoa tahadhari za mafuriko katika eneo hilo kufuatia mvua kubwa #bbcswahili #ustralia #mafuriko Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw