Skip to main content
Skip to main content

BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    5,307 views
    Duration: 30s
    Tazama Sokwe akipelekewa chakula kwa droni baada ya kukumbwa na mafuriko. Wafanyakazi wa kituo cha kuhifadhi sokwe nchini Florida, Marekani, wametumia ndege isiyo na rubani kumpelekea ndizi sokwe mwenye umri wa miaka 38 anayeitwa Kaleb, baada ya mafuriko makubwa kukata njia za barabara kuelekea katika kituo hicho. Uongozi wa kituo hicho umesema sokwe wote wanaendelea kufuatiliwa na kuhudumiwa licha ya maji ya mafuriko kuharibu barabara, majengo na vifaa mbalimbali. #bbcswahili #florida #sokwe Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw