Skip to main content
Skip to main content

Bei ghali ya mafuta yapandisha bei za bidhaa sokoni Narok

  • | Citizen TV
    163 views
    Duration: 1:39
    Wauzaji wa Mboga na samaki katika soko la ODM mjini Narok, wameendelea kulalamikia kuzorota kwa bei za bidhaa zao pamoja na biashara kutokana na kuongezwa kwa bei za mafuta. lingana nao, baadhi ya bidhaa zao zinaharibika kwani wateja hawanunui kutokana na hali ngumu ya maisha .