- 4,659 viewsDuration: 1:21“Bei ya chakula na bidhaa zingine muhimu imepanda mno hapa Zanzibar” - Mwandishi wetu @Sammy alipitapita mitaani na kuzungumza na wauzaji. - Je huko unakoishi tomato 🍅 mbatata na vitunguu maji ulinunua kwa bei gani? - - - #zanzibar #tanzania #uchaguzi #bbcswahili #foryou Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw