Skip to main content
Skip to main content

Bei ya mafuta ya petroli yasalia ile ile kwa siku-30 zijazo

  • | KBC Video
    392 views
    Duration: 1:54
    Wenye magari wataendelea kulipa bei bei zile zile za mafuta ya Super, Diezeli na mafuta taa kwa muda wa siku 30 baada ya halmashauri ya kudhibiti sekta ya kawi na mafuta (EPRA) kudumisha bei za mafuta kwa bidhaa hizo tattu. Jijini Nairobi, lita moja ya mafuta ya Super itauzwa kwa shilingi 214.03, Diezeli kwa shilingi 217.86 na mafuta taa kwa shilingi 191.38. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive