Bei ya unga wa mahindi yatarajiwa kufika shilingi 250 kufuatia mzozo wa uagizaji mahindi

  • | KBC Video
    23 views

    Bei ya pakiti ya kilo mbili ya unga wa mahindi huenda ikagharimu zaidi ya shilingi 250 hivi karibuni iwapo serikali haitatatua mzozo unaohusisha stakabadhi katika kituo cha mpakani cha Namanga ili kufanikisha uagizaji wa mahindi kupitia nchini Tanzania.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #mahindi #Bei #Gharama