Skip to main content
Skip to main content

Benki na taasisi za kifedha kugharamika zaidi kwenye matumizi ya kadi

  • | KBC Video
    67 views
    Duration: 1:28
    WIGO WA USHURU Benki pamoja na taasisi nyingine za kifedha sasa watahitajika kulipa fedha zaidi kwa ajili ya huduma za kadi baada ya huduma hizo kuanza kutozwa ushuru wa bidhaa. Hazina ya kitaifa pia imependekeza kuanzishwa kwa ushuru wa mapato yanayotokana na mashindano ya michezo ya bahati nasibu. Vinywaji tamu pia vitapanda bei huku waziri wa fedha akisema hatua hiyo inanuiwa kuimarisha afya ya wananchi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive