- 24,384 viewsDuration: 1:29Je, rais wa Marekani anaweza kubadili adhabu ya Kombe la Dunia? Hilo ndilo swali linalotikisa dunia ya soka. Baada ya mshambuliaji wa Marekani Folarin Balogun kuonyeshwa kadi nyekundu dhidi ya Bosnia alitakiwa kukosa mchezo wa hatua ya 16 bora dhidi ya Ubelgiji. Mwandishi wa BBC Nasteha Mohamed @naste6295 na taarifa zaidi - - #bbcswahili #kandanda #kombeladunia2026 #foryouă‚· Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw