Benki ya ABSA yafungua rasmi tawi jipya katika eneo la Kamakis

  • | Citizen TV
    172 views

    Benki ya Absa imefungua rasmi tawi jipya katika eneo la Kamakis. ufunguzi huo umefanywa kwa ushirikiano na kampuni ya Royal Media Services ambayo imeandaa msafara wa kusherehekea ufunguzi huo katika maeneo ya Kamakis, Kahawa Wendani, Zimmerman, Kahawa West, na Ruiru. Vituo vya redio vya Inooro FM na Radio Citizen, chini ya uongozi wa Tina Ogal, viko katika ziara maalum maeneo haya.