Skip to main content
Skip to main content

Benki ya dunia yafadhili mpango wa kuwachanja mifugo

  • | Citizen TV
    395 views
    Duration: 2:13
    Idara ya mifugo ikishirikiana na benki ya dunia imeanzisha mpango wa kuchanja mifugo katika kaunti kumi na tatu nchini dhidi ya magonjwa ya miguu na midomo pamoja na sokota kwa mbuzi na kondoo.