Ajali 13 zilizohusiana na uhifadi au usafirishaji wa mafuta ya petoli au gesi ya kupikia zilinakiliwa humu nchini kati ya mwezi Julai na mwezi Disemba mwaka jana na kusababisha hasara ya takriban shilingi milioni 197. Ripoti ya hivi punde ya halmashauri ya kudhibiti kawi na petroli inaashiria kwamba makosa ya kibinadamu ndiyo ya kulaumiwa kwa asilimia 83 ya ajali hizo, nyingi zikiripotiwa katika kaunti za Kakamega, Busia, Kisumu na Nairobi. Taarifa kamili ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive