- 135 viewsDuration: 2:54Kenya inashauriana na Benki ya Dunia kuhusu mpango mpya wa utoaji mikopo ya kufadhili maendeleo unaotarajiwa kuwasilishwa kwa bodi ya benki hiyo ili uidhinishwe. Gavana wa Benki Kuu ya Kenya Dkt. Kamau Thugge amesema Benki ya Dunia haijasambaza fedha zozote chini ya mpango huo uliopendekezwa kwani mashauriano bado yanaendelea. Taarifa hii ni kwenye makala ya Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive