Skip to main content
Skip to main content

Biashara I Kiwanda kipya cha kawi ya mvuke wa ardhini kufunguliwa Suswa

  • | KBC Video
    852 views
    Duration: 3:07
    Kenya inadhamiria kuwekeza kwenye viwanda vya uundaji magari kama nguzo muhimu ya ustawi wa viwanda, kubuni nafasi za ajira na kuimarisha biashara ndogo na za kadri. Waziri wa uwekezaji na viwanda, Lee Kinyanjui amesema serikali imeweka mikakati ya kuboresha viwanda vya humu nchini ili kupunguza bei ya magari na kupiga jeki mpango wake wa Nunua Kenya Jenga Kenya. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive