Skip to main content
Skip to main content

Biashara I Wadau wataka sekta ya magari ya umeme kuimarishwa

  • | KBC Video
    111 views
    Duration: 3:27
    Wadau katika sekta ya uchukuzi, wa magari ya kielektroniki wanataka sera kuimarishwa katika kanuni za sekta hiyo ikiwa wanataka inawiri na kukua kikamilifu kupitia wawekezaji na watumiaji. Msimamizi wa Mawasiliano wa kampuni ya BasiGo, Wanjiru Mureithi, anasema kuwa sekta hii bado ni changa na inakabiliwa na marekebisho ya kisera kila mwaka na hivyo kuwa vigumu kuimarisha mikakati ya biashara. Kwa taarifa hii na nyingine,huu hapa mseto wa habari za biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive