Skip to main content
Skip to main content

Biashara I Wafanyibiashara wahimiza kulipwa kwa madeni yaliyopo

  • | KBC Video
    109 views
    Duration: 3:25
    Wafanyibiashara wamerejelea miito ya kulipwa kwa madeni yaliyopo katika mashirika ya serikali na kukingwa kwa zabuni za umma kwa minaajili ya kampuni za humu nchini, wakionya kwamba kucheleweshwa kwa malipo na kutofikiwa kwa kandarasi za umma kunaathiri biashara ndogo ndogo na za kadri. Katibu wa uwekezaji na usimamizi wa mali ya umma Cyrell Odede, amesema mikakati inatekelezwa kuweka nyakati mahsusi za malipo ili kurejesha imani ya wasambazaji bidhaa. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive