Biashara za wanawake Maralal

  • | Citizen TV
    208 views

    Wanawake Katika Kaunti Ya Samburu Wamepigwa Jeki Ili Kuimarisha Mazingira Duni Ya Kufanyia Biashara Mjini Maralal Na Viunga Vyake. Kwa Kawaida Wafanyibiashara Hao Huendesha Biashara Zao Kando Ya Barabara Ambapo Wanakabiliwa Na Changamoto Za Hali Ya Anga.