- 4,144 viewsDuration: 2:35Neema Surrie ni mwanamuziki kutoka Zanzibar ambaye amejizolea umaarufu kupitia kipaji chake cha kupiga ala ya fidla (violin). Lakini nyuma ya umaarufu huo kuna safari yenye changamoto, maneno ya kukatisha tamaa na mapambano ya kutafuta nafasi katika jamii ambayo haikuwa tayari kumkubali kwa urahisi. Katika mazungumzo na Mwandishi wa BBC Omary Mkambara @loko_omi, @neemmahsury anasimulia kwa uwazi alichopitia, namna alivyokabiliana na kauli za watu na kile kilichomfanya asikate tamaa hadi kufikia alipo leo. Bi. Kidude akiwa ni mmoja wa waliomvutia kupiga ala ya violin, Je, ni nini hasa kilimtokea, na alifanikiwaje kuvuka vikwazo hivyo? Tazama video hii yenye simulizi yake. 🎥: @frankmavura Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw