- 871 viewsDuration: 1:49Rais William Ruto amemzawadi bingwa wa mbio za marathon, Sebastian Sawe Ksh.8 million kufuatia ushindi wake kwenye mbio za marathon. Sawe ambaye alivunja rekodi kwa kutumia dakika 01.59.30 kukimbia mbio hizo jijini London.Sawe ndiye mwanamume wa kwanza kukimbia mbio hizo kwa chini ya saa mbili. Sawe alizawadiwa shilingi milioni 5 kufuatia ahadi ya rais kwa wanaovunja rekodi na shilingi milioni 3 kutoka kwa wizara ya elimu. Sawe kwa upande wake alimzawadi rais Ruto viatu alivyovaa alipovunja rekodi hiyo.