- 2,234 viewsDuration: 3:05Fyona Wanjiku Kabitta alipandikizwa figo mbili akiwa mtoto wa miaka sita na hadi sasa anahitaji figo ya tatu angalau kumpa fursa ya kuendelea na shughuli zake za kawaida. Kwa binti huyu wa miaka 21, maisha yake yamekwama baada ya kukaa nchini India kwa muda kutafuta matibabu. Hata hivyo, changamoto za kifedha zilimlazimu kurejea nyumbani na kukatiza matibabu yaliyohitaji shilingi milioni nane kwa kukosa kufanikiwa na bima ya afya ya umma nchini