Skip to main content
Skip to main content

Bomoa bomoa Nigeria

  • | BBC Swahili
    11,172 views
    Duration: 1:55
    Bomoa bomoa ndani ya Makoko, makazi makubwa kando ya maji jijini Lagos, kumeacha maelfu ya raia bila makazi, huku familia zikisema hazikupata onyo la kutosha. Hasira ziliibuka mitaani na vikosi vya usalama kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji. Mwandishi wa BBC, Chiamaka Dike, alitembelea Makoko kuzungumza na waliokosa makaazi na taarifa yake inawasilishwa na @frankmavura #bbcswahili #nigeria #makaziholela Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw