Skip to main content
Skip to main content

Bomu la vita vya pili vya dunia lateketezwa baada yakugunduliwa mtoni

  • | BBC Swahili
    8,566 views
    Duration: 37s
    Tazama bomu la Vita vya Pili vya Dunia likiteketezwa baada ya kuonekana kufuatia kiwango cha maji cha mto kushuka hadi kufichua bomu hilo. Ukame nchini Slovakia umesababisha kugunduliwa kwa bomu hilo katika Mto Danube. Kikosi cha wataalamu wa mabomu kililitoa na kulisafirisha kwa usalama hadi eneo maalum, ambako liliteketezwa katika mlipuko uliodhibitiwa. #bbcswahili #vitayapiliyadunia #ukameslovakia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw