Skip to main content
Skip to main content

Bonde la Kerio: wanaharakati waonya dhidi ya semi za chuki zinazoweza kuchochea vita vya kikabila

  • | NTV Video
    1,513 views
    Duration: 2:47
    Semi za wanasiasa, viongozi na vyombo vya habari katika eneo lenye utata la Bonde la Kerio ni chanzo za uhasama na utovu wa usalama katika eneo hilo. Haya ni kwa mujibu wa washikadau wa amani ambao wamewataka viongozi wa kisiasa kukoma kutumia semi za chuki zinazoweza kuchochea vita vya kikabila baina ya jamii zinazozozana katika ukanda huo. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya