Skip to main content
Skip to main content

Bora masomo au masomo bora? Tofauti kubwa kati ya shule mijini na mashinani

  • | Citizen TV
    789 views
    Duration: 3:15
    Utekelezaji wa mtaala wa CBE umeweka wazi tofauti iliyoko ya miundombinu na mazingira ya masomo kwa wanafunzi walioko mijini na mashinani. Miaka minne baadaye, baadhi ya wanafunzi mashinani hawajawahi kutumia tarakikishi wala maabara shuleni licha ya kuwa kiungo muhimu cha elimu inayolenga kuwapa wanafunzi uwezo wa kutenda badala ya kukariri nadharia pekee.