23 Oct 2025 1:24 pm | Citizen TV 3,336 views Duration: 1:30 Shinikizo limetolewa kwa bunge la kaunti ya Nyeri kuendeleza mchakato wa kumbandua mamlakani Gavana Mutahi Kahiga kutokana na matamshi yake dhidi ya hayati Raila Odinga.