Skip to main content
Skip to main content

Bunge yakosoa wizara ya afya kwa changamoto za SHA

  • | Citizen TV
    524 views
    Duration: 1:22
    Wabunge wameikosoa Wizara ya Afya kutokana na changamoto za mara kwa mara katika bima mpya ya afya -SHA. Kamati ya Afya ya Bunge la KITaifa inaituhumu wizara hiyo kwa kuharibu utekelezwaji wa uzinduzi wa Mamlaka ya Afya ya Jamii, ikisema changamoto hizo zinaathiri hospitali na kuwakosesha wagonjwa huduma. onyo hili linajiri wiki chache tu baada ya Hospitali ya St. Mary’s mjini Mumias kusitisha huduma kutokana na madai ya malipo kutoka kwa NHIF na SHA.