- 20,270 viewsDuration: 47sRais wa Urusi Vladimir Putin amepinga pendekezo la nchi za Magharibi la kupeleka jeshi nchini Ukraine kufuatia mkutano wa kilele wa Paris unaolenga kukamilisha mipango ya hakikisho la usalama. - Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alisema washirika 26 wa Ukraine wamejitolea rasmi kupeleka wanajeshi wa "nchi kavu, majini au angani" kusaidia kudumisha usalama mara baada ya mapigano kusitishwa. Hakueleza kwa undani nchi yoyote iliyohusika. - Kauli hii ya Putin inauweka wapi mzozo huu? - Jiunge na Hamida Abubakar saa tatu kamili katika dira ya dunia TV akijadili hili kwa kina na pia usisahau kutembelea ukurasa wetu wa youtube wa BBCSWAHILI. - - - #bbcswahili #urusi #ukraine Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw