Skip to main content
Skip to main content

Uhuru Kenyatta ataja Matiang’i kama chaguo lake la urais

  • | Citizen TV
    23,614 views
    Duration: 3:31
    Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amekashifu baadhi ya wanasiasa nchini kwa kumkosoa kila anapojihusisha na siasa za nchi, akisema ananyimwa nafasi ya kuchangia masuala ya kitaifa. Rais mstaafu huyo, ambaye alihutubia wafuasi wa Chama cha Jubilee kupitia njia ya simu huko Narok, amesema chaguo lake la kuwania urais ni Dkt. Fred Matiang'i, akimtaja kuwa mchapa kazi na anayefaa kuongoza taifa katika uchaguzi mkuu ujao. Vigogo wa Chama cha Jubilee wamehimiza umoja katika muungano wa upinzani ili kuondoa serikali ya Kenya Kwanza katika uchaguzi mkuu ujao.