Bungoma: Kijana mmoja awashangaza wengi kwa kumvalisha nguo, kumpamba na kumrembesha mbwa wake

  • | NTV Video
    1,349 views

    Kijana mmoja kwa jina Branton Wanjala, katika kijiji cha Emabusi, kaunti ndogo ya Bumula, Kaunti ya Bungoma, amewashangaza Wakenya kuhusu hatua yake ya kumvalisha nguo, kumpamba na kumrembesha mbwa wake.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya