Skip to main content
Skip to main content

Bungoma: Wakenya watakiwa kufanya vipimo ya mapema kudhibiti ongezeko la magonjwa ya figo

  • | NTV Video
    365 views
    Duration: 3:10
    Kenya inapojiunga na ulimwengu kuadhimisha Siku ya Figo, wito umetolewa kwa Wakenya kujitokeza na kufanyiwa vipimo vya afya ili kubaini hali yao kama mojawapo ya njia za kuthibiti ongezeko la magonjwa yanayoambatanishwa na figo. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya