Skip to main content
Skip to main content

Bungoma: Zaidi ya familia 150 zilizoathirika na mafuriko zapokea msaada kutoka Shirika la Red Cross

  • | NTV Video
    139 views
    Duration: 1:55
    Zaidi ya familia 150 kutoka vijiji vya Chesiywo, Kapkrong na Kimama katika Wadi ya Chesikaki, eneobunge la Mlima Elgon, Kaunti ya Bungoma, zilizoathirika na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini, zimepokea msaada wa bidhaa muhimu kutoka kwa Shirika la Msalaba Mwekundu Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya