Bustani ya Uhuru imefunguliwa na ina miundo misingi bora zaidi

  • | NTV Video
    250 views

    Bustani ya Uhuru jijini, sasa imefunguliwa na ina miundo misingi bora zaidi katika kuwapa wenyeji mahali pa kubarizi na burudani mbali mbali kwa jamii, ikiwa ni wazee kwa vijana, watoto kwa watu wazima.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya