8 Oct 2025 1:58 pm | Citizen TV 592 views Duration: 35s Nchi ya Cape Verde inahitaji ushindi mmoja ili kufuzu kwa kombe la dunia mwaka ujao. Cape Verde imesalia na mechi mbili, moja ya nyumbani na nyingine ugenini.