- 15,529 viewsDuration: 1:17Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimetoa msimamo wake kuhusu uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 kwa kusema kuwa uchaguzi ni batili na vyema kufuta matokeo yote ya uchaguzi na kuvunja kwa tume huru ya uchaguzi (INEC) kwani hakina uhuru na hakiaminiki na watanzania. Hivi karibuni akizungumza na Wazee wa Dar es Salaam Rais Samia Suluhu Hassan alisema haishangazi kuwa alipata ushindi mkubwa kwa kuwa vyama vikuu vya upinzani Chadema na ACT hawakuwamo kwenye mbio za urais - - #bbcswahili #uchaguzi2025 #siasa #tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw