Skip to main content
Skip to main content

CHADEMA watakiwa kutovunjika moyo na maamuzi hayo.

  • | BBC Swahili
    30,799 views
    Duration: 34s
    Makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche amesema leo ni siku nyeusi na mbaya kwa wapigania haki baada ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu kupatikana na kesi ya uhaini ya kujibu. Amewataka wapenzi na wafuasi wa chama hicho kutovunjika moyo na maamuzi hayo. #bbcswahili #tundulissu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw