Skip to main content
Skip to main content

CHADEMA yataka mamlaka ya Kenya kuchukua hatua za haraka kubaini alipo Mwaipaya. Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    55,444 views
    Duration: 28:16
    Mwanaharakati wa upinzani na mtetezi wa haki za binadamu kutoka Tanzania, Twaha Mwaipaya, anaripotiwa kutekwa nyara katika kaunti ya Machakos, viungani mwa jiji la Nairobi, kwa mujibu wa shirika la kutetea haki za kibinadamu la Amnesty International. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw