Skip to main content
Skip to main content

Chama cha DCP chashutumu serikali kwa vitisho vya kisiasa na hujuma

  • | NTV Video
    246 views
    Duration: 1:36
    Chama cha DCP kimeishutumu serikali kwa vitisho vya kisiasa na hujuma baada ya mkutano wake huko Mbeere Kaskazini kuvurugwa siku ya Jumapili na kusababisha machafuko. polisi wanatuhumiwa kwa kurusha vitoza machozi kwenye umati wa watu waliojumuisha wanawake na watoto. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya