13 Feb 2026 1:49 pm | Citizen TV 263 views Duration: 2:08 Chama cha Maendeleo ya Wanawake kimeitaka serikali kuwapunguzia ushuru wanaotozwa kutoka kwa mapato ya jengo la chama hicho jijini Nairobi.