- 20,809 viewsDuration: 5:28Chama cha ODM mrengo wa Linda Ground unaoongozwa na seneta wa Siaya Oburu Oginga unafanya mkutano wa kitaifa wa wajumbe katika uwanja wa Jamhuri hapa jijini Nairobi. Wenzao wa mrengo wa Linda Mwananchi nao walipanga kufanya mkutano sambamba na huo katika jumba la ufungamano ila polisi wakautibua.