Chama cha ODM tawi la Taita Taveta lapata mwenyekiti mpya

  • | Citizen TV
    116 views

    Chama cha ODM kaunti ya Taita Taveta kimeandaa uchaguzi wa viongozi mbalimbali huku mgawanyiko wa wanachama ukijitokeza baada ya seneta wa kaunti hiyo Jones Mwaruma kutangazwa kuwa mwenyekiti.