Chama cha UDA cha hamasisha wanawake kaunti ya Taita Taveta

  • | Citizen TV
    344 views

    Chama cha UDA tawi la Taita Taveta kinalenga kuwainua vijana wa kike na kina mama walio na azma ya uongozi ili waweze kujiendeleza. Haya yamefahamishwa wakati wanachama wa UDA wakishiriki uchaguzi hapo jana kufuatia hakikisho la serikali kuu kuwa itawainua wanawake kiuchumi kwa kuwapa nafasi katika ngazi za kitaifa.