- 341 viewsDuration: 1:28Chama cha wachumi nchini (ESK) kimefungua rasmi kongamano la kila mwaka katika hoteli moja kaunti ya Kwale. Hafla hiyo inawaleta pamoja wachumi, watunga sera, wasomi, na washirika wa maendeleo kutafakari mwelekeo wa maendeleo wa Kenya wa siku za usoni.