Skip to main content
Skip to main content

Chama cha walimu KNUT chawashauri walimu kukumbatia SHA

  • | Citizen TV
    196 views
    Duration: 1:00
    Naibu Katibu Mkuu wa KNUT Hesbon Otieno amewataka walimu kukumbatia bima ya matibabu ya SHA, akisema ina manufaa mengi kuliko bima ya awali ya Minet. Kulingana naye, Mfumo wa matibabu wa SHA umefanyiwa marekebisho ili kutoa huduma zinazotosheleza walimu.