8 Oct 2025 1:32 pm | Citizen TV 270 views Duration: 2:21 Zoezi rasmi la chanjo dhidi ya ugonjwa wa miguu na midomo kwa Wanyama limeng’oa nanga rasmi huku takriban ng’ombe milioni moja unusu wakitarajiwa kuchanjwa katika Kaunti ya Narok