Chanzo cha vurugu za Amhara nchini Ethiopia ni nini?

  • | BBC Swahili
    445 views
    Vikosi vya serikali nchini Ethiopia vimekuwa vikipigana na wanamgambo wa Amhara katika wimbi jipya la ghasia. Ingawa hali ya utulivu imerejea katika baadhi ya miji mikubwa, mapigano yanaripotiwa katika miji midogo. Ni nini chanzo cha wimbi jipya la mapigano, na ni nini athari zake? Mwandishi wa BBC @tonyirush anaeleza. - #bbcswahili #amhara #ethiopia