- 48,162 viewsDuration: 28sNamshukuru Mungu’ Mwandishi @mikachavala aliyekuwa ameshtakiwa kesi ya uhaini kufuatia vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi nchini Tanzania amesema hana zaidi ya kusema ‘Asante Mungu.’ - - #bbcswahili #tanzania #Maandamano #uhaini #uchaguzi2025