Skip to main content
Skip to main content

Chemchemi ya maji ya Mlima Elgon iko hatarini ya kukauka

  • | Citizen TV
    1,334 views
    Duration: 3:13
    Chemchemi ya maji ya Mlima Elgon, ambayo ni moja ya nguzo saba muhimu za maji nchini, inakabiliwa na hatari ya kutoweka iwapo juhudi za haraka za uhifadhi hazitachukuliwa. Wenyeji pamoja na wanamazingira wanahimizwa kuweka mikakati madhubuti ya kulinda mazingira, hasa kupitia upandaji miti katika eneo hilo.