- 10,516 viewsDuration: 1:54Msanii wa R&B kutoka Marekani, Chris Brown, amehukumiwa kifungo cha miezi minane gerezani, kilichositishwa kwa kupewa kifungo cha nje cha miezi 12. Hukumu hiyo inahusiana na kukiri kwake kosa la kushiriki katika vurugu zilizohusishwa na shambulio dhidi ya mtayarishaji wa muziki Abe Diaw katika klabu ya usiku jijini London, Februari 2023. Awali, Brown alikabiliwa na mashtaka mazito zaidi, ambayo baadaye yaliondolewa. Mwandishi wa BBC Phillys Mwatee @_phillys na taarifa zaidi. 🎥: @frankmavura - - #bbcswahili #hukumu #mwanamuziki #chrisbrown #rnb