11 Nov 2026 1:41 pm | Citizen TV 36 views Chuo Kikuu cha Kisii mwaka huu ni mwenyeji wa kongamano la sita la kimataifa kuhusu lishe bora, linalowakutanisha wataalamu wa lishe, watafiti na wadau wengine katika sekta ya afya kujadili masuala ibuka yanayohusu lishe na afya ya jamii.